mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
HahahahahaSema kamanda. Upumbavu upi? Tuziweke hasira zetu mpaka 26 April mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]
HahahahahaSema kamanda. Upumbavu upi? Tuziweke hasira zetu mpaka 26 April mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]
HahahahahaUzi huu raha sana.
Huku masaksafoni mazito menene marefu yaliyopita...
Huko mchi unaoenea mkononi...
Kule kuna kutwanga na kukoboa...
Humu watwangwaji....
Raha tupuuuuu !!!
Haha HahahahahaRubbish..
Empty set
Jamaa alimwambia mshkaji mmoja eti akiwa mtoto mama yake alimnyonyesha maziwa ya nguruwe hahaha
Hahahahaha realTrump vs. Kiduku?
Amun RaMungu akawe mlinzi wetu[emoji120] [emoji120]
Siwezi pata ban mkuu sina mihemuko kabisa I'm good politicianUsisahau kuleta mrejesho. Usije tu ukarudi na ban huku !!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] WengerGirl : Fool
Boy : Whore
Girl : Bastard
Boy : Bitch
Girl : Loser
Boy : Gold digger
Girl : Wenger
Boy : [emoji35][emoji35] Look here girl!!!!, jokes aside, if You ever ,ever , ever!!!!,i repeat ever call me that again , You will regret the day You
were born!!!
HahahahahaNgoja nipige picha ya meno yangu niilete hapa kabla hatuja onana. Kwa matumizi ya baadae
Hahahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenikumbisha zamani saaana kijijini kwetu.
Mama mdogo alitumwa mashineni kusaga unga,ilikuwa mchana kipindi cha masika.
Hadi inafika usiku kipindi cha igizo la jangala redioni akawa hajarudi,kumbe mhuni kakaba njiani kaenda nae geto. Tulikula viazi vya kuchoma,shuani zake baba mdogo...
Kesho yake wakaja na noti ya sh.20 kujitambulisha na kurudisha unga
Insta huko zipo nyingiNumbisa una dhambi wewe. Hizi picha sijui huwa unazipata wapi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
IG naonaNumbisa una dhambi wewe. Hizi picha sijui huwa unazipata wapi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio msimu wakeHii vita ya Baby na Omwana sijui itaishia wapu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jokes mkuuMugabe kweli kafariki? Jongwe?