carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Watu wanalipuka tu siku hizi[emoji23][emoji23][emoji23]Jirani ana mtwangio unaoenea mkononi. Wenye vinu kaeni chonjo. Na inavyoonekana anatwanga na kukoboa kabisa. Shauri yenu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hujalala bado?
Leo kidogo nipite kazini kwako kukuulizia. Kwema darling shemeji kipenzi...? Kanyoka ketu bado kapo?Ben10 wa mama tulia basi usiniharibie[emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
What a lucky man..
Nazingatia hii kanuni siku hizi. Mkojo mweupeee...Asante daktari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Rangi ya mkojo ndiyo husema iwapo unakunywa maji ya kutosha. Ukinywa maji ya kutosha,mkojo hauna rangi nzito.Hii huonyesha mkojo hauna madini mengi ambayo husababisha mawe.Mkojo wenye rangi nzito/njano huonyesha kutokunywa maji ya kutosha.
Kaboom! Just like that robo tatu ya vinywaji vyangu imeyoyoma...Ni vinywaji vipi ambavyo havifai?
Usinywe maji ya zabibu,au tufaha;chai ya turungi,kahawa,chokoleti na soda;na aina yoyote ya pombe.
Leo niko na day off,hata sijui kama bado kapo ama laa[emoji20][emoji20]Leo kidogo nipite kazini kwako kukuulizia. Kwema darling shemeji kipenzi...? Kanyoka ketu bado kapo?
Bahati nzuri sina wa kunikatia siku hizi. Niko huru !!!Hujalala bado?
Au wameukata?