Lucky man wapi? Kujiumiza tu hakuna loloteWhat a lucky man..
Ila wakijuana hapo huo mtiti wake sipati picha..
Basically hakuna kula cho chote...3. Kuzuia mawe ya asidi ya yurik
Epuka vileo vyote.
Jiepushe na nyama ya maini,figo,ubongo,pia samaki,nyama ya nguruwe,kuku,ng‘ombe,na hata mayai.
Jiepushe pia na maharagwe, spinechi, dhania, koliflawa na mkate mfamu.
Jiepushe na vyakula vyenye mafuta kama aiskrimu na vilivyokaangwa.
Tumia dawa kama zile za kuzuia aside ya yurik.
Zuia uzito usizidi.