Heeee!!! Mr. BAK is back....
Weweeeeeeee...lete mapicha picha yetu trezyara.
Welo kamu welo kamuuuu....welo waaatiii?
Pia husaidia kutibu kikohoziHUTIBU MAGONJWA GANI?
Kuongeza hamu ya kula
Kupunguza kichefuchefu
kutapika
Kisukari
Shinikizo la damu
Kuongeza msukumo wa damu
Kutoa sumu mwilini
Maumivu ya tumbo
kuondoa gesi tumboni
Kwa kuongezea, magome ya mlonge pia husaidia kuunga mfupa wa mkono/mguu kwa aliye vunjika.Mti wa Mlonge hutibu Magonjwa mengi sana yanayomsumbua binadamu na baadhi ya Magonjwa hayo ni kama ifuatavyo :-
Kisukari
Ugumba
Tatizo la Figo
Tatizo la Moyo kuwa mkubwa
Kupata maumivi unapokutana na Mwanamke/Mwanaume
Mapele sehemu za siri
Tatizo la Miguu na Magoti
Maumivu ya mikono
Mishipa ya ngiri
Madonda ya koo
Meno
Vibarango
Vidonda ndugu
degedege
Madonda ya Tumbo
Mgongo
Kiuno
Matatizo ya nguvu za kiume na kike
Mambo ya kawaida tu mbona? Wangekuwa wanataja na majina ingependeza zaidi....
Kwako wewe ikoje?Kwa binti inategemea na binti mwenyewe, mwingine wala haimsumbui kichwa..
Lakini kwa mwingine anaweza atamani hata kuhama sayari.
Mlonge...mlongeeeeeeeeeeeee !!!Mlonge ni mti maarufu sana Duniani kote hata hapa kwetu Tanzania husussani mkoa w Kigoma. Wao hutumia kama dawa ya kuteguka, maumivu ya mwili au miguu, tumbo na hutumika zaidi kwa matumizi ya kivuli.
Ziko aina nyingi za mti wa Mlonge, lakini zinazofahamika sana ni zile aina saba za mlonge zilizo maarufu kati ya 13 zilizopo ;
Wabongo kwa majibu hawajawahi kuniangusha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]