myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Asante mkuu. Hata mimi niliona. Anaonekana kama binti wa Kaskazini huko milimani. Visiwani huko na uslei kwini kweli vinawezekana? Anyway, akiamua anaweza kutoa chalenji kubwa kwa Sanchoka. Ni mrembo !!!
Dah!Baada ya Mmuhumiwa kufanya tukio hilo aliuchukua mwili wa marehemu na kwenda kuuficha kwenye mti wa mbuyu ambao una tundu kubwa na kisha aliripoti polisi kituo kidogo cha Kinampanda Mkalama kuwa mke wake ametoroka na alianza kumtafuta hadi tarehe Machi 17, 2018 ambapo taarifa zilipopatikana kuwa alimuua.View attachment 721203