carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Kuna sentensi nimeielewa sana ndio maana[emoji124] [emoji124] [emoji124]Usiunge mkono kila kitu...Keshapiga jibapa mumeo...[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Hilo chanuo ikipata kutu na nywele za kipilipili vilikuwa havipatani kabisa.
Usimpende mwanaume kiasi kwamba na yeye mwanaume anajua.
Usimpe uhuru mwanaume afanye chochote kwenye mwili wako,lakini pia hata kwenye vitu vyako,hata kwenye hela zako.
Usithubutu kufunguka sana kuhusu mahusiano uliyo kuwa nayo kabla yake.
Usikubali kila wito wa mwanaume, na usiruhusu kufanya ngono kila atakapo...
"SISI WANAUME NI WA HOVYO SANA"
Njema sana.Ng'waguku?
Za kupotea?
Hakuna sentensi ya ukweli hata moja hapo. Yote ni relative na yanategemea experience ya mtu na mtu. Haya mambo siyo fizikia kwamba unaweza kuyaundia kanuni. Uelewe mzigo wako na ubebe kwa namna ambayo hautakuumiza kichwa na shingo yako. Vinginevyo utue...That's all [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️Kuna sentensi nimeielewa sana ndio maana[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Umeacha point moja[emoji124] [emoji124]Pointi ya kwanza Si kweli...
Pointi ya pili Kweli nusu nusu
Pointi ya tatu Si/Ni kweli
.....
HITIMISHO LA HOVYO KABISA. Halina tofauti na lile la WANAUME NI MAMBWA [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Utajijuu na bado utalia sana hapo nyuma ya keyboard sijui screen ya simu.
Umeyataka mwenyewe.
Hahahaha Carba njoo ujionee maajabu huku.Ila nilimuambia ukirudi tu mimi na yeye basi.Kwa hiyo ukinihitaji amu availabo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haya,niambie... Za kuadimika mama
Nimefanya makusudi...Umeacha point moja[emoji124] [emoji124]
Etiiiiii????? Ulinipa talaka lini?Kumbeee[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] nsha changanya mambo tayari...
Tutabanana tu hapo hapo, uzuri mie nipo huku bush tukuyu. We utabaki nae huko dar.Heeee[emoji134][emoji134][emoji134]
Kwa taarifa yako sasa safari hii siachi wala siachwi,jipange[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niko nafukua mafaili ya lile deni lake...Etiiiiii????? Ulinipa talaka lini?
Sasa ulikuja kufany nini, nenda kwenye vya maana.Nilidhani kuna cha maana kwenye hii thread ,kumbe ujinga mtupu
Hehehe inawezekana yule jamaa aliesema wanaume wa hvyo sana alimaanisha huyu, huenda sikuelewa vzuriNilidhani kuna cha maana kwenye hii thread ,kumbe ujinga mtupu
Tena kaka kazana kbs maana hata sasa hv nakaribia kumuongezea familia kwhy na mahari inaongezeka.Niko nafukua mafaili ya lile deni lake...
Alikuwa anajifaragua hapa eti amekuchezea halafu hata mahari hakumalizia.
Ma-Great Thinker majiniazi wasomi mliotukuka nyie mna vituko sana aisee.Nilidhani kuna cha maana kwenye hii thread ,kumbe ujinga mtupu
Hapana alimaanisha wewe na aliyekuzaaHehehe inawezekana yule jamaa aliesema wanaume wa hvyo sana alimaanisha huyu, huenda sikuelewa vzuri
Zilikuwa ng'ombe 15 kabakiza. Zimepanda na kuwa 20 sasa. Atatuona haki ya nani...Tena kaka kazana kbs maana hata sasa hv nakaribia kumuongezea familia kwhy na mahari inaongezeka.