goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,156
Weeee umekataliwa bhana usizuge hapa.... [emoji23] [emoji1] [emoji4] [emoji119] [emoji119]Acha kurukia jambo usilolijua kwani nani alikwambia nimewahi kumtongoza!? Mtu ambaye hujawahi kumtongoza anakukataa vipi? Unajua chochote kuhusu auto correct au ni kutaka kuonyesha ujuha wako hadharani!?
Isikusumbue mkuu, mpenzi neno la kawaida sana kwangu..Shukrani kwa hilo siye wengine hilo neno linahusiana na yale mambo yetu nilijisikia vibaya kwa kweli nikasema nikuombe radhi kwenye pm baadaye nikabadili mawazo kama nimetenda kosa hadharani basi kuomba radhi inabidi pia nifanye hadharani. Again, THANK YOU SO MUCH.
Here Goldie....Mambo?Jakitoo where are you dear... ?? [emoji87] [emoji85]
Weeee umekataliwa bhana usizuge hapa.... [emoji23] [emoji1] [emoji4] [emoji119] [emoji119]
Poa... I miss you [emoji4] [emoji39]Here Goldie....Mambo?
We ukitusi me na"like" ila umekataliwa inauma sana kwa kweli... [emoji1] [emoji23] [emoji119]Ujuha kweli ni mzigo. Hebu weka huo ushahidi wako hapa. Acha upumbavu wako wa kurukia watu usiowafahamu kama huna la maana la kuandika kaa kimya ili kuficha ujinga wako.
Isikusumbue mkuu, mpenzi neno la kawaida sana kwangu..
Kuwa na amani kabisa.
Asantee[emoji124] [emoji124] [emoji124]Poa... I miss you [emoji4] [emoji39]
We ukitusi me na"like" ila umekataliwa inauma sana kwa kweli... [emoji1] [emoji23] [emoji119]