Wanaimba hao, kila baada ya nyumba mbili kuna kanisa..Hongereni kwa hilo.Mkuu unataka kusema nijisikie vibaya kuwa mnyakyusa? Kisa rangi ya ngozi?
Mafanikio(kitu cha kujivunia) ya wanyakyusa ni kuimba tu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haki ya Mungu...
Si kuimba tu, hata kusali wanaongoza jamani.Hahahaha Mkuu nawe Mnyakyusa ??
Bwahahaha, Ila wanaimbaaaaaa hawa jamaa Yikes!
Sidhani kama kuna kabila linawafikia!
HahahahahaUsijali mkuu,utani ndio mahali pake hapa...
Kabila lenyewe limekaa kutaniwa muda wote...
Rangi ya ngozi kuwa nyeusi nadhani itakuwa hali ya hewa,maana ukanda wote wa ziwa nyasa (Konde,Malawi na Mchinga-Msumbiji) na eneo dogo la Zambia wameathirika na hali hiyo.Walio bahatika kidogo ni wale Wasena wa Mlanje na wa kusini mwa jimbo la Natete Msumbiji.
Poa mkuu baada ya pasaka nitarudi TangaJambo la kheri. Nimesha rudi Dar
AminaMkombozi wetu!
Kweli kabisa
Ulipotelea wapi?Good Friday pyaar
Kweli kabisa makanisa mengi yapo MbeyaWanaimba hao, kila baada ya nyumba mbili kuna kanisa..Hongereni kwa hilo.