Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ila kwa miaka 6 atakumbuka sana..Labda wakileweshe pombe kilewe kisijielewe ndo wafanye hivyo.
Wakikilewesha pombe dawa haitafanya kazi. Si kanachovya tu mara moja na kutoa au dawa inataka ni lazima kapige vitako kadhaa? Mama si anaweza kujifanya kasinzia halafu anakatrick tu? Au dadi naye anaweza kusaidia hapo kidogo...They have to be creative...

Ila wazazi jamani Mungu Awabariki. Huwa wanatuhangaikia sana !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…