Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tangu miaka ya zamani wanadamu wamekuwa ni watafutaji wa mambo yaliyojificha katika maisha. Tambua kuwa safari ya maisha lengo lake ni kutufundisha na kuimarisha roho zetu.
 
Jizazi kirasti[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] mbunye siku ya leoooo? Hebu lala hata kama umetoka kuamka...
 
Elimu hizo za muhimu ambazo ni elimu zinazoweza kukusaidia kuelewa siri za ulimwengu na mambo ambayo wanadamu wachache wameweza kuzitambua. Lakini tambua kuwa, kama unajua elimu hizo au kama haujui elimu na laws zake bado zitakuwepo tu. Mfano ukiruka kwenye gorofa hata kama hujui kuwa kuna nguvu ya mvutano (gravity) utatua tu chini na kuumia. Ni sawa na elimu hizi. Uwe unazijua au usipozijua bado zinafanya kazi kila wakati. Hivyo ni muhimu kuzijua ili uweze kuziongoza na kubadili maisha yako. Nazo ni
 
Si kwa kutwangwa kule japo wengine wakistaafu huwa wanaolewa na kutulia na familia zao. Na waoaji wanajua kila kitu.
Mmmh kazi kweli kweli

Kijana mmoja mganda alinasa kwenye hayo mambo bila kupenda,kadanganywa kuna ajira yenye pesa ndefu na maneno mengi ya ahadi kijana akaingia laini,kapelekwa jumba flan kwa hatua za awali kuja kushtuka hawez ponyoka karetewa wanawake watatu kwa mambo ya kikubwa,akiishiwa nguvu anapewa dawa aendelee kazi huku akirekodiwa,tamaa ikawa imemponza maana alikua na elimu yake nzuri tu ya chuo na bado alikua masomon ila alitaka njia ya mkato ya mafanikio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…