Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ipo hata kwenye Korani hii mkuu?"Surat Yunus"
Mkuu tumamba ni kitoweo huko?Siyo supu ya tumamba?
Pasaka njema mkuu...[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Tunasubiri taasisi nyingine tuone maoni yaoMbali na tamko la TEC, maaskofu wa KKKT nao pia walitoa waraka wa ujumbe wa Sikukuu ya Pasaka uliozungumzia masuala ya kiroho na kutaja changamoto tatu na kuzifikisha kwa waumini wake ili ziongeze mzigo wa kuliombea taifa.
Changamoto zilizotajwa katika waraka huo uliopewa jina la ‘Taifa Letu, Amani Yetu’ na kusainiwa na maaskofu 27 wa kanisa hilo nchini, ni hali ya kijamii na kiuchumi, maisha ya siasa na masuala mtambuka likiwamo suala la Katiba Mpya.
Salaam mkuu
Sijui ila huwa wanatufuga kwa ajili ya uchawi. Kanatumwa hata kwenye maji ya kwenye jagi tu kanakudabua. Au unapata hamu ya ghafla kwenda ziwani. Hutarudi salama !!!Mkuu tumamba ni kitoweo huko?
Sijui ila huwa wanatufuga kwa ajili ya uchawi. Kanatumwa hata kwenye maji ya kwenye jagi tu kanakudabua. Au unapata hamu ya ghafla kwenda ziwani. Hutarudi salama !!!
[emoji3] [emoji3] wanakodisha ama kutumwa kwa maji ya bahari nimrestishe mtu furani anayetaka kunipora mchepuko? [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Sijui ila huwa wanatufuga kwa ajili ya uchawi. Kanatumwa hata kwenye maji ya kwenye jagi tu kanakudabua. Au unapata hamu ya ghafla kwenda ziwani. Hutarudi salama !!!
Siku kuu pande hizi inaisha vema mkuuKheri Mkuu! Habari ya Sikukuu?
Ni kisa cha mafunzo mengi muhimu kwenye uislamIpo hata kwenye Korani hii mkuu?
Andaeitini huwezi kuelewa haya mambo. Kuna mpaka tasnifu za uzamivu katika Anthropolojia zimeandikwa kuhusu haya mambo. Na Gabriel Ruhumbika ni muumini mkuu na anajivunia sana mambo haya. Lakini kwa vile ni uchawi ambao huwezi kuukokotoa kwa hayo makalikyulasi ya akina Isack Newton, unaweza kuamini kama upo au haupo. Ni sawa sawa na mimi kule Usukumani. Siamini kabisa kama watu wanaweza kusafiri kwa kutumia fisi japo inaaminika ndivyo ilivyo.Hizo ni story tu aisee, hazina ukweli wowote!
Kukodisha lazima kupo. Huo mchepuko una msambwanda wa aina gani mpaka umrestishe mtu? Si utafute mwingine tu? Pwani kweli unamrestisha mtu kwa ajili ya mchepuko? Bagosha![emoji3] [emoji3] wanakodisha ama kutumwa kwa maji ya bahari nimrestishe mtu furani anayetaka kunipora mchepuko? [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Haonei, hakosei, hujaalia majaaliwa kama haya ili pawe na tofauti baina yetuMuumba huwa hakosei [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 731722
Aisee...Nilikuwa sijui. Roomate wangu wa enzi zile alinipa Korani nisome. Nikamuuliza kama makafiri tunaruhusiwa kuigusa akawa hana jibu la kuaminika nikaogopa nikamrudishia[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️Ni kisa cha mafunzo mengi muhimu kwenye uislam
Amen [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Haonei, hakosei, hujaalia majaaliwa kama haya ili pawe na tofauti baina yetu
Mkuu kwani wewe ni Kafiri?Aisee...Nilikuwa sijui. Roomate wangu wa enzi zile alinipa Korani nisome. Nikamuuliza kama makafiri tunaruhusiwa kuigusa akawa hana jibu la kuaminika nikaogopa nikamrudishia[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️