Kozi mmemaliza na mwalimu pyaar
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ni kazi ngumu. Kumwongelesha binti wa watu mpaka kufikia akuamini hatimaye umchojoe nguo. Ni process ndefu ndiyo maana hao jamaa wanaamua kupita njia ya mkato na kwenda kununua...
Kabisa aisee long distance ni tatizo kwa mafunzoHaya mambo ya Distance Learning ni magumu bana! Kozi inakuwa ngumu kwani inabidi kila kitu ujitafutie mwenyewe!
Maulana Mola wangu ni mwaminifu sana kwangu walahi!Mkuu habari za mapumziko
Euler's identity inasemaje mkuu na applications zake katika maisha ni zipi? Sitaki kwenda kugugo ....
Kafiri ni neno la kiarabu lenye maana ya "aliyekufuru". Aliyekufuru ni yule aliyemkana Mungu muumba na kuamini viumbe wengine wa vya huyo Muumba. Makaburi, mibuyu, jua, milima, mizimu na hata binadamu. Wakati mwingine hata walioamini huangukia kwenye ukafiri kwa kuwa mbali ya kumuamini Mungu muumba pia huamini mazindiko yao na nguvu nyingine za kishetaniAsante mkuu ila hizo tafsiri zote nilishapewa.
Aseee, jf full vitukoJamaa alimkuta mama na IST yake kapata pancha. Akambadilishia taili. Katika kubadilisha huko akaomba mambo akaambiwa laki moja. Akabembeleza akapunguziwa mpaka elfu 60. Akatafuna mbunye. Baadaye akaenda kwenye baa moja kusindikizia utamu na bia. Hajakaa sawa akamuona mama yule yule aliyemuuzia mbunye kwa elfu 60 anajiuza tena kwa elfu 15 tu. Katika thread yake analalamika kuwa kapigwa elfu 45 za bure na ni afadhali kama angeenda kununua malaya moja kwa moja kwa elfu 15 badala ya huyu aliyempiga elfu 60 akidhani mtu decent kumbe hakuna kitu. Ni thread ya kuchekesha sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]