Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,589
- 28,759
Mbona wajomba na mashangazi hawatajwi??18 Ninyi wake, watiini waume zenu kama ipendezavyo katika Bwana. 19 Ninyi Waume, wapendeni wake zenu msiwe na uchungu nao. 20 Ninyi watoto, watiini wazazi wenu katika mambo yote; maana jambo hili lapendeza katika Bwana.
Sawa sawa, ntakuongeza na kengine.he he he he
Ngoja nika ka-print.
Kawe kamekaa mkao huwo huwo wa mchuchumaoSawa sawa, ntakuongeza na kengine.
Wazazi huwakilisha baba, mama, shangazi,mjomba n.k.Mbona wajomba na mashangazi hawatajwi??
"Ninyi waume, wapendeni wake zenu msiwe na uchungu nao". Hii inamaanisha nini mkuu? au ndiyo kile chanzo cha kupeana vichapo ili kuonyesha upendo kama inavyoaminika kwenye eneo lileee>>>18 Ninyi wake, watiini waume zenu kama ipendezavyo katika Bwana. 19 Ninyi Waume, wapendeni wake zenu msiwe na uchungu nao. 20 Ninyi watoto, watiini wazazi wenu katika mambo yote; maana jambo hili lapendeza katika Bwana.
Hahahahaa! Nikafikiri umependa sura, kumbe mkao.Kawe kamekaa mkao huwo huwo wa mchuchumao
Huhuhuhu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mechi za mchangani, yani zile za kwenye mapagare[emoji3] [emoji3] viwanja visivyo na nyasi, majukwa nk[emoji3] [emoji3]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] game zinachezwa sana miaka hii, mapenzi hayapo zimebaki simulizi za vitabuni tu mkuu1.Mahusiano bila uaminifu ni sawa na simu bila network, utacheza game tu.
HahahahahahahaHe he he he
Mafaili yangu yananambia wenye pasi wanakuwaga na nyodo kweli kweli.
We huna nyodo.
OkWazazi huwakilisha baba, mama, shangazi,mjomba n.k.
He he he heHahahahahahaha
Ila wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Vyote viwili.Hahahahaa! Nikafikiri umependa sura, kumbe mkao.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wengine wanafikiri kula dagaa ni kuishiwa[emoji28][emoji28], wana kamsemo kao "Ooh hatuli misumali" Misumali?? Inakutoboa utumbo??
Ndugu zake Andjul bhale na tuja gete,
"Heeee! heeee! heeee! Ugwe utulishe indagala 😳 😳 😳 mma gwe!
Ngogwe (nyanya chungu) kwao sumu.
Unaniambia mimi au huyo model kwny avatar?He he he he
kweli aiseeee
Hongera kwa kujaaliwa mwenzetu.
Kabinti kazuri karembo kachuchu[emoji8] [emoji8]Njoo ufanyiwe maombi[emoji445] [emoji445] [emoji441] [emoji441] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Familia-mama ni baba, mama na watoto. Haya ya wajomba na mashangazi ni nyongeza tu....Mbona wajomba na mashangazi hawatajwi??
Hahahaa!"Ninyi waume, wapendeni wake zenu msiwe na uchungu nao". Hii inamaanisha nini mkuu? au ndiyo kile chanzo cha kupeana vichapo ili kuonyesha upendo kama inavyoaminika kwenye eneo lileee>>>
Wewe....Unaniambia mimi au huyo model kwny avatar?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]