Hujui tu madhara ya hiyo comment yako. Malipo ni hapa hapa duniani. Mark my words [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eeh sijui ndo hivyo,hata sijui
Sina maaana hiyoooo[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Abee nyanya[emoji23][emoji3] [emoji3] ila nyanya
Unasema [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 732468
Kweli mkuuIkisha kosewa siku ya kwanza,siku ya pili ni rahisi kusahihisha.Maisha ya mtandaoni ni maisha ya ndoto za watu wengi,yanaandikwa/kusimuliwa matamanio kuwa halisia.
Kuna wengine wanatamani waone mafanikio hayo ili wajifunze au wahakiki kama ni kweli.Kweli inakuwa si kweli,kwanini asikimbie?
Tulio pigika tunatafuta mawazo mapya kwa tunao waamini wanaweza kumjenga mtu,hata akinicheka kwa jinsi alivyo nikuta,muhimu anipe elimu ya kunitoa nilipo.
Nilipo maliza six,sikwenda chuo.Nilizurura sana tena kijinga jinga.Baada ya kupigika nikaangukia kwenye utingo wa mabasi. Abiria wengi niliokuwa nawapakilia mizigo,walikuwepo na niliosoma nao (Mkwawa ilikuwa na wanafunzi 2,800) wakiwa wananishangaa nini kimenipata. Baadae nikaona isiwe tabu,nikajiunga na kampuni ya ulinzi.Kirungu,radio call mkononi huyooo kulinda.... Hatimaye chuo.
"Maisha mazuri sio mali,bali nafsi ikiwa na amani"
Walevi utawajua tu[emoji23][emoji23][emoji39] [emoji39] [emoji39]
Tutageuza Uzi wa siasa...Mkuu tuelimishe kidogo nini kilitokea
Ongeza glasiUnatumia kinywaji gani nipo hapa muhudumu[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Maua maua
Usitoke weka kambiNimepita kuwachungulia....
Hizi khanga dah[emoji12] [emoji12][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nitarud baadae jaman ngoja nipikeee loooh aaaaghhView attachment 732484
Likes zinaendelea...Wapi @myoyabendi na likes zake za usiku, wapi Yegomasika
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nitarud baadae jaman ngoja nipikeee loooh aaaaghhView attachment 732484