Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hayo maelezo sasa.
Wakati mwingine mwache apambane na huo muwasho kidogo,siku nyingine mwacheee.
Ina maana na wewe aki.....utataka aku.....[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Wakati mwingine itamani tu iache iende khaa!![emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hata mimi nilimwambia hivyo hivyo. Unaibusu tu na unainusa kwa ukaribu ili siku nzima uwe unatabasamu tu kwa raha zako. Kowekazi wanakuuliza mbona leo unatabasamu hovyo hovyo basi unafunga macho tu na kunusa kwa hisia huku ukijua jioni utaikuta imesafishwa imeng'aa inakusubiri. Maisha jamaaaaa !!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mirakooo eeeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…