Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu hii nyimbo naipenda sana, nikisikiliza hii nyimbo mwili hunisisimka
 
siku ya kwanza tulizuiliwa kwenda mbali kwaajili ya mazoezi lakini jana (juzi) tukiwa na kocha tukiwa kwenye mazoezi kama kawaida yetu tulitoka umbali wa 17 km lakini tukaishia mikononi mwa askali akitueleza tumetoka nje ya mji hivyo ni hatari kwa usalama wetu” alisema Makula.
 
Nianze kula kwa fiilingi wakati laivu laivu nimekiona? Siwezi.... Kowekazi wakiniuliza mbona naonekana mchovu mchovu hapo nawajibu kwa tabasamu na kuiangalia saksafoni yangu ilivyo jituliza...
 
Aliongeza kuwa jambo hilo walilijua litatokea tangu wakiwa Tanzania kwa kuwa walimtahadhalisha kocha kuwa wanariadha wa mbio ndefu haina haja ya kuondoka mapema kwa kuwa ratiba inaonesha wao watakimbia siku ya mwisho lakini hakulipa uzito.
 
Alisema kuwa kocha aliwahakikishia sehemu ya kufanya mazoezi sio tatizo lakini walipofika Dar es Salaam waliweza kuongea na Katibu Mkuu wa TOC Filbert Bayi kuhusu wao na akawajibu kwanini wasingesema mapema tiketi zingebadiliswa hivyo ni ngumu kwa muda ule kubadilisha.
 
Tukiota vitambi msitulaumu maana mipango haikuwekwa vyema kwa kuwa sehemu za kufanyia mazoezi ni shida tofauti na kwetu, tatizo huku kuna foleni na hata suala la usalama linatazamwa sana ili waandaaji wasije ingia matatizo”
 
Hahahahaha, jiwe, nduli, dhalimu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] nani huyo mkuu? Angetoa talaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…