Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mwenyekiti wako wa chama cha WAGUMU leo mchana UGUMU ulikuwa umemwelemea. Hakuna cha karipio wala nini. Lete mrejesho !!!Nimepewa barua ya kalipio kali na Mwenyekiti wangu wa WAGUMU! Kwa hiyo zoezi limeahirishwa! Hakuna cha ubwabwa wala Disco! [emoji1][emoji1]
Sijui nikuelezeeje ila sikipendi na nakiogopa hicho kiumbe.Roho inasisimukaje..?
Nipo kamanda wa pwani. Mnasemaje huko pwani?Mkuu habari
DaaahMwenyekiti wako wa chama cha WAGUMU leo mchana UGUMU ulikuwa umemwelemea. Hakuna cha karipio wala nini. Lete mrejesho !!!
View attachment 734434
Nilitilia mashaka tangu mwanzo. Halafu Andaeitini kabisa. Safi sana !!!Hilo hata yeye anajua[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa ole wako unipeperushie ndege wangu
Watu(wasiojiewa lakini) wana screenshot na kutuma jukwaaniPM zimefanyaje tena
Kaone !!!Wazungu wanasema hivi wana play hard to get
Waswahili tunasema sitaki nataka
Wewe hapo[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]Unawinda nini? Kaone !!!
Angalau tunapata mvua kila baada ya siku mbili, angalau joto linadhibitiwa taratibuNipo kamanda wa pwani. Mnasemaje huko pwani?
Sawa sawaSijui nikuelezeeje ila sikipendi na nakiogopa hicho kiumbe.
Uanachama wa WAGUMU unapatikanaje? Nimechoka nataka kujiunga huko !!!Daaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Au ndo asiyejua maana usimwambie maana
Mimi mwenyewe nimeulizwa lile swali sababu sijui maana yake ndio nikaleta kwa wajuziSasa hii tabia ya leo umeambukizwa na nani?
Maana lile swali mmh!!!
Tulikuwa tunamshuku(ile ya utani lakini)maana kule kunakuwaga na u team na mara nyingi mimi na yeye ni wapinzani.I tell you you are intelligent! Umenirahishia kazi. Hujawahi niangusha. [emoji122]
Hahah ila nabisha hawezi kuwa yeye asee.
Ila nahisi zile stori za lara zilikuwa special for ladies zaid.