Hawa nao tumewachoka bana, watu hawana hata uvumilivu na makocha, khaaaaa!!!???Chelsea wanatarajia kumteua kocha wa Juventus, Massimiliano Allegri, kuwa meneja wa mpya mwishoni mwa msimu lakini kama itashindikana mazungumzo na meneja wa zamani wa Barcelona Luis Enrique. (Star)
Yego ndio mpira ulivyo mpira wa mguu una matokeo katili sana[emoji6][emoji6][emoji6]
YapNi kweli kabisa na new ideas
Sijui nitajie maana najua kijana mpole alishakutaliki, nijue tu kati ya pimbi, muungwana wa tukuyu au jirani yangu andaeitini. Kati yao najua mmoja atakung'oaKwani humjui kakaake?[emoji23][emoji23][emoji23]
Ang'olewe mara ngapi?Sijui nitajie maana najua kijana mpole alishakutaliki, nijue tu kati ya pimbi, muungwana wa tukuyu au jirani yangu andaeitini. Kati yao najua mmoja atakung'oa
R.I.P Leyla MalikiBinti Mtanzania aliyeuliwa na jamaa kule UK. View attachment 735111
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Majaribu dhahiri kabisa wewe CHACHAWA utafanya memba wakimbie misingi yao[emoji23][emoji23][emoji23]ona unavyoshangilia
yaani niko kwenye harakati hapa ya kujiunga CHAWAWA,nikaribishe basi mwenyekiti