Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wanaharakati wanasema tusiwe waoga ukisema nimeacha utatawaliwa na kutukanwa kila kukicha. We need to stop this ndan ya uzi huu,mtu freely anaita rais muuaji etc tubaki kuchekelea tu HAIWEZEKANI
Angalizo zuri. Nitalifanyia kazi rolo modo wangu. Kuna watu wanadhani wana haki zaidi ya kusema wakiaminicho na wengine hawana. Wana hati miliki ya matusi !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…