Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Utafiti mpya kabisa tena kutoka Harvard kabisa unasema kuwa kutopata usingizi wa kutosha pengine ndiyo sababu nambari wani ya kansa karibu zote; na wameshauri watu wanaofanya kazi za zamu za usiku kuanza kuangaliwa kwa ukaribu zaidi hasa huko mbele ya safari kwa sababu uwezekano wao wa kupata kansa maishani ni zaidi ya nusu ya wengine. Masaa sahihi ya kulala ni manane na kwa jinsi muda huu unavyozidi kupungua ndivyo immune system inavyozidi kuzorota na uwezekano wa kansa mbalimbali kuongezeka. Nilipoiona hii nikamkumbuka MD wetu Carbamazepine.Lala masaa ya kutosha. Binadamu anatakiwa kulala masaa 7 mpaka 9 kila siku. Kulala usingizi wa kutosha huufanya ubongo wako kupata muda wa kutosha wa kupumzika na kuongeza uwezo wako wa kukumbuka mambo.
Amu rede[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jiandae...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakupenda rolo modo wangu !!!
Hata sielewi unaongelea nini mkuu. Sorry...Bora ule ban maana siku hizi wapo wenye mamlaka maneno, sura na matendo yao vinafanana. Usipime wakikupitia. Hawapimi tena mkojo
Wakishinda ni visasi tupu na kusafirishwa kama miguna migunaWanaharakati wetu wa usawa, haki na demokrasia hawataki kabisa kabisa kusikia cho chote kinyume na wanachokisema. Ni mapovu na ad hominem attacks mtindo mmoja. Ningekuwa Mungu ningeamru hata leo hii wachukue nchi hii tuone demokrasia, haki na usawa vitakavyoshamiri. Na nawaombea sana uchaguzi ujao washinde tupate mabadiliko na demokrasia ya kweli [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wakishinda ni visasi tupu na kusafirishwa kama miguna miguna
Bora ule ban maana siku hizi wapo wenye mamlaka maneno, sura na matendo yao vinafanana. Usipime wakikupitia. Hawapimi tena mkojo
AiseeHalafu sijala ban huu mwaka wa pili. It is time [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Majaribu hayana budi kuja2.Epuka kuweka kilevi au pombe nyumbani au sehemu ya kazi ili kuepuka majaribu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Jiandae...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakupenda rolo modo wangu !!!
[emoji3][emoji3][emoji3], aiseeMaoni ya mwalimu mkuuView attachment 735213
DohMaoni ya mwalimu mkuuView attachment 735213
HuhuhuhuUMEMUAGA mkeo unaenda kazini, ukapita kwa mchepuko wako, wakati unajimwaya-mwaya na mchepuko, mume wa mchepuko akagonga mlango, ikabidi ufichwe uvunguni mwa kitanda.
Wakati bado upo uvunguni ka mchepuko kakamuaga mume wake kwamba, kanaenda saloon, mume wa ka-mchepuko naye akaona ndo muda wa kuita mchepuko wake, akauita ukaja, wakajimwayamwaya kwa sana muda huo wee bado upo uvunguni. Mara mchepuko wako akarudi kutoka saloon, akagonga mlango, ikabidi mume wa mchepuko wako aufiche uvunguni mchepuko wake.
Kucheki hivi kumbe mchepuko wenyewe ndo mke wako uliyemuaga unaenda kazini, kwa hiyo wewe na mke wako wote mkawa mmefichwa uvunguni...Ukisikia vita ya tatu ya dunia, ndo hii sasa.
Kwa hisani ya Bujubuji...
Personal attack sio nzuri,mfano wa mjomba wake aliutoa kukuonyesha mauaji na mengineyo hayakuanza awamu hii.