Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Naona jamaa alihisi mtoto sio wake,mtoto miezi mitatu hivi mzurii,piamwanamke alileta ndugu yake wa kike kumsaidia malezi ila ndo hivyo tena wakauliwa wote.

Mzee wa liver aliweka picha zao hapa wazuri kweli
Yap Numbisa Hawa ni ndugu zangu wa damu kabisa walikuwa ni wadogo zangu toka nitoke sipendi kurudia hili naumia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…