Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nipo. Majukumu na heka heka. Kutojibu siyo kwamba hujali bali bize unashusha madondoo. Hayo mambo ya usaili nimeyapenda. Inabidi vijana wetu wafundishwe hizi protokali za usaili hasa katika kazi za Kimataifa. Ukichanganya na weledi kidogo wa lugha vijana wengi wa Kibongo wanapwaya sana wakilinganishwa na wenzao wa Kenya, Uganda, Nigeria na kwingineko.Kwann nisijibu bagesh,sema nipo page za mbali napitia ubuyu kama kuna sehemu sijajibu ntajibu tu.
Kwema ,za kupotea siku mbili tatu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbuzi kagoma na hii drought hapo tako moja na nusu tu wazee wa kiherehere haooo [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Bado Bill namheshimu kuliko Bezos bill yuko toka enzi hzoHuyu ameshapigwa bao na, Jeff Bezos wa Amazon!
Na wewe mashoto mkuu?[emoji134] [emoji134] [emoji134] mfwiileee....
OprahHudhan nini mkuu?ni mashoto
ASANTE SANA MKUU.I surely won't charge you...Nina njaa but still bado naheshimu utu na heshima.
Its gonna be free. Trust me.
nitumie ile Swahili inspiration uliyotuma asubuhi
Na anavyoutumia utajiri wake anazidi kujijengea heshima zaidi. Sasa ameelekeza nguvu zake katika Alzheimer's disease na dementia huku anapambana na Malaria na UKIMWI.Bado Bill namheshimu kuliko Bezos bill yuko toka enzi hzo
Ila mkuu kwa unayoyaleta hapa halafu "drought". .....dahh!!! Mungu aendelee kukujenga zaidi.Naamini ipo siku tutaongea mengiMbuzi kagoma na hii drought hapo tako moja na nusu tu wazee wa kiherehere haooo [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Home - westlifeClose your eyes-Westlife
Thijaerewa kabitha aitheeeeeLakini si umeelewa??
Ushindani mwingine upo kuanzia nafasi ya 11 hadi 20 yeyote atakaezembea hapo anashuka darajaMANC leo wanafanya yao na kuchukua ubingwa rasmi. Ushindani kati ya sasa hadi mwisho wa May ukingoni mwa msimu wa 2017/2018 utakuwa ni wa nafasi ya pili kati ya Liverpool, MANU na Tottenham Spurs. Dakika ya 20 bado 0-0
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mimi sijaenda kwa yego ananipeleka dinner tu.
Cole atakuwa hoi kwa dozi ya jana aliyopewa[emoji23][emoji23]
Yegomasika nakusubiri hapa