Ni wewe pekee unayejua wangapi binadamu wabaya
wabayaaaaaaaaaaaaaaaa
Ndugu rafiki nani ana roho safi nani ana roho mbaya
Mbayaaaaaaaaaa
Molaaaa, naomba nilinde niwe na upendo wa dhati wote niishi nao sawa.
.....
.....
.....
.....
Kidogo nakula na mama yangu, siwezi kuwasahau na ndugu zangu
upendo popote alipo kwa baba yangu japo alinikataa
....
....
....
....
Sasa hivi kwenye tamasha tu likitajwa jina watu wanashangilia,
wengine furaha yaani inazidi kina hadi kabisa wanalia.