Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Rais wa Marekani Donald Trump amemkemea vikali rais wa Syria Bashar al-Assadna washirika wake Urusi na Iran juu ya shambulio linalodhaniwa kuwa ni la kikemikali, akisema kuwa kuwa "watakuwa na gharama kubwa ya kulipia shambulio hilo ".
katika msururu wa jumbe zake za Twitter , Bwn Trump alimuelezea rais Assad kama "mnyama".
Serikali ya Rais Bashar Al- Asaad wa Syria imekanusha kutumia kemikali hiyo ya sumu dhidi ya raia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…