Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sidhani kama sweta tu litatosha.
 
Ina maana hata kama ni mchepuko na unausaidiaga saidiaga? Hii itakuwa zali aisee...

Sasa siturongi wumani kama huyu naye kaenda, michepuko yetu huku Mbagala si ndiyo itakuwa mstari wa mbele kabisa?
Aisee!!! Najiandaa kuiona picha yangu kwa Tv...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Aisee!!! Najiandaa kuiona picha yangu kwa Tv...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Zaliiiii !!!

Mama Abdallah akiniibukia kwa Makonda nitamshangaa sana aisee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Niliwahi kumuona kipindi kilee kwenye biashara ya vyakula, baada ya muda kupita nikaja muona kwa Tv...Alinivutia sana,nikasema tu "atafika mbali".
Sikutarajia kuwa angekuja kuwa mjinga kiasi hiki wakati alisha maliza vikwazo vyote!!!
Kipindi chake bado kinaendelea kwenye TV?...

Huyo hapo mkuu. Endelea kunipigania niachiliwe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…