Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Siasa ni siasa tu popote na misingi yake ni ile ile. Tofauti zake zinatokana na utamaduni na historia ya jamii husika ila huku unaweza kusema It is even worse japo wanafanya mambo yao kwa siri na kwa mbinu tofauti..Hivi huko nako kuna kipindi kunakuwaga kugumu(kisiasa) kihivyo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama umemtelekeza kitaeleweka tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 739915
Ukiweza kujitambua hauwezi kutelekeza mtoto. Ukiwa na akili timamu hauwezi kumzalisha mwanamke na usijue.Jizazi....
Halafu iwe kwenye TV laivu sasa...
Nimeona umati wa wanawake wote wale nikasikitika sana. As men we have to do better and be there for our kids. Vimalaika vya Mungu havina makosa na kwangu mimi kuvitelekeza ni kosa ambalo halisameheki kabisa.
Aisee mtu anaweza kuamua kukuchafua hata bila kosa yaani. Maisha ya kwetu huku uswahilini tunayajuaga wenyewe
Hivi huko nako kuna kipindi kunakuwaga kugumu(kisiasa) kihivyo?
Ni kujidhalilisha kwa kweli. Na ukiliruhusu saksafoni likutawale basi jua kuwa huna hata hadhi ya kuitwa Homo Sapiens kwa sababu sifa mojawapo ya kuitwa binadamu ni kuishinda mikatale ya utashi na hulka za kihayawani...Ukiweza kujitambua hauwezi kutelekeza mtoto. Ukiwa na akili timamu hauwezi kumzalisha mwanamke na usijue.
Mwanaume kuvua vua nguo hovyo kwa wanawake ni uchanga wa akili.
KIDUMU CHACHAWA KIDUMUNi kujidhalilisha kwa kweli. Na ukiliruhusu saksafoni likutawale basi jua kuwa huna hata hadhi ya kuitwa Homo Sapiens kwa sababu sifa mojawapo ya kuitwa binadamu ni kuishinda mikatale ya utashi na hulka za kihayawani...
Kutokujua inasaidia sana bora siriSiasa ni siasa tu popote na misingi yake ni ile ile. Tofauti zake zinatokana na utamaduni na historia ya jamii husika ila huku unaweza kusema It is even worse japo wanafanya mambo yao kwa siri na kwa mbinu tofauti..
Wee acha tu.Haitapita muda utaona hali ya hewa itavyo chafuka ndani ya wiki hili. Dogo wa upinzani lazima limwangukie hiliMtu anakuvuruga mpaka hata ile trust waliyokuwa nayo kwako wale uwapendao inapotea! Kazi ni kuirudisha tena!
Ndiyo kitu ambacho sikipendi huku. Yaani binti akikuzushia umempa kimdabuo cha tako as in slap it and watch it vibrate basi you are done. Kuna jamaa Mkenya alizoeana na denti wa kike mpaka denti siku moja akataka eti alishike saksafoni la jamaa kwa sababu amesikia eti ya Kiafrika ni makubwa. Jamaa akakataa na akaamua kumwadhibu kwa kumpeleka kwa Dean weee. Binti akacharuka kuwa eti jamaa ndiyo alikuwa anamlazimisha na alishawahi kumpiga vidole ofisini. Jamaa alifukuzwa kazi immediately mpaka akaamua kurudi nyumbani kabisa...Sad !!!Mtu anakuvuruga mpaka hata ile trust waliyokuwa nayo kwako wale uwapendao inapotea! Kazi ni kuirudisha tena!
KIDUMUUUU !!!KIDUMU CHACHAWA KIDUMU
Hakika mkuu,maisha yenyewe magumu. Usingizi unapata saa 8 hata haifiki saa 11 umekata,unaanza kufikiria maisha tena... Nitaendelea kufaidi mapicha picha ya humu.Ni kujidhalilisha kwa kweli. Na ukiliruhusu saksafoni likutawale basi jua kuwa huna hata hadhi ya kuitwa Homo Sapiens kwa sababu sifa mojawapo ya kuitwa binadamu ni kuishinda mikatale ya utashi na hulka za kihayawani...
Ndiyo kitu ambacho sikipendi huku. Yaani binti akikuzushia umempa kimdabuo cha tako as in slap it and watch it vibrate basi you are done. Kuna jamaa Mkenya alizoeana na denti wa kike mpaka denti siku moja akataka eti alishike saksafoni la jamaa kwa sababu amesikia eti ya Kiafrika ni makubwa. Jamaa akakataa na akaamua kumwadhibu kwa kumpeleka kwa Dean weee. Binti akacharuka kuwa eti jamaa ndiyo alikuwa anamlazimisha na alishawahi kumpiga vidole ofisini. Jamaa alifukuzwa kazi immediately mpaka akaamua kurudi nyumbani kabisa...Sad !!!
Halafu unajua watu wanafikiri mbwembwe zetu na matani ya humu ndivyo tulivyo in real life. Wroooooooooooong [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakika mkuu,maisha yenyewe magumu. Usingizi unapata saa 8 hata haifiki saa 11 umekata,unaanza kufikiria maisha tena... Nitaendelea kufaidi mapicha picha ya humu.
Safi sana mkuu. Unajua mwanga huo huo huchukua muda gani kutoka katikati ya jua unakozalishwa (kama photon) mpaka kufika nje ya jua na kuwa emitted kuanza safari hiyo ya dakika 8:20 kutujia? Ni maajabu makubwa !!!It takes 8 minutes and 20 seconds for light to travel from the Sun to the Earth! View attachment 739949