Huyu na mange hawana tofauti,wakiwa na pesa wanatumia zote kununulia nguo za kufanyia mashauzi,just imagine bidada akalazimisha wakaishi mitaa ya isis tena nyumba ya ghorofa ya kupanga badala ya kuish nyumba ya kawaida huku wakijenga yaoNiliwahi kumuona kipindi kilee kwenye biashara ya vyakula, baada ya muda kupita nikaja muona kwa Tv...Alinivutia sana,nikasema tu "atafika mbali".
Sikutarajia kuwa angekuja kuwa mjinga kiasi hiki wakati alisha maliza vikwazo vyote!!!
NzuriHabari za asubuhi
salama..za kwakoHabari za asubuhi