[emoji23][emoji23][emoji23]Kabisa yaani...
Sijui hata nitamfanyeje?
Nilikuwa mpole kabisa.
Yaani nikiangalia post zangu za zamani mpaka natamani kurudiko...
Ai gesi ndo kukua kwenyewe.
Watu wanamuvu fromu ulaini wa ajabu mpaka ugumu wa ajabu and back sembuse mimi?
[emoji23][emoji23][emoji23]sana yaan unaweza jigeuza bondia na ukashinda pambanoWala hujishtukii,raha sana
Afadhali japo nadhani umelisema hili ili kunitabasamisha tu na ndani kabisa unajisemea "Koromije"Hii ni mwakaleli pyuaaaaa
Tokotoko[emoji23][emoji23][emoji23]Inawezekana injini ilikuwa inatokota
HatariiTokotoko[emoji23][emoji23][emoji23]
Endelea kutetea ukoo...Unyakyusani hakuna ziwa,mto wala bahari kusema watavua samaki kama huyo,kwa vyovyote vile hawa ni.....,[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Yaani ulikuwa zaidi ya mpole.Kabisa yaani...
Sijui hata nitamfanyeje?
Nilikuwa mpole kabisa.
Yaani nikiangalia post zangu za zamani mpaka natamani kurudiko...
Ai gesi ndo kukua kwenyewe.
Watu wanamuvu fromu ulaini wa ajabu mpaka ugumu wa ajabu and back sembuse mimi?
Kila mkubwa ana utoto ndanimwe.[emoji23][emoji23][emoji23]jamaniii
Ila huu mchezo nimecheza sana,hadi na uzee huu nikienda nyumba nikakuta tiles huwa nacheza[emoji23][emoji23][emoji23]sijui nitakua lini wallah
Wivu ndo unatusumbuaNa wabongo tunapenda anguko la watu ili tushangilie vizuri
KweliWivu ndo unatusumbua
Dom ndo ninapoishiUnahudhuria kwenye baraza'?