Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

...Barafu wa moyo wake katoka huko,yeye pia kaishi huko,ni lazima atetee... Whaaaaaiiiii haina nguvu hapa,muache shemeji yangu mzuri atetee ukoo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kumbe hii ndo sababu?
Haya bana....
Na huyo barafu wa moyo wake ni nani?
Mwanzoni nilifikiri ni wewe hasa pale uliposhinda ile bet na Kijana mgumu.
Sijakaa sawa tena nikaanza kusikia ushemeji.
Huu uzi yaani sometimes kufuatilia mambo na kuwa up to date ni kazi.
Ni afadhali hata wanaofanya kazi ya kufuatilia vimwondo hatari huko NASA​
 
Busara tupu yaani...
Kwa nini mtu asikupende?
 
Utahukumiwa tu,mtoto hautulii unaongea utadhani umemeza mota!!!
Halafu nina haja nawe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…