Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Acheni kuweka kila kitu kama siasa bhana,labda jamaa analengo la kutoa msaada kweli
Sidhani ustawi wa Jamii ndio kitengo maalum kwa ajili ya hilo Mtoto akizaliwa na upati matunzo mama una haki ya kwenda kumshitaki ustawi wa Jamii ama Mahakamani hili muhusika awajibike anachokifanya RC kipo kinyume na sheria itakula kwao believe me
 
Mwakaleli hatuvaagi magauni ya kwenye jumuia/kitulano. Huyo wa huko huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…