Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

9.Unasimulia Kitu katikati ya watu, mara mate yanaruka na kumuangukia mtu wa jirani, na kila mtu ameona....
 
Jamaniiiii[emoji134][emoji134][emoji134]
 
10. Unasikiliza muziki masikion (earphones), unagundua watu wote wanakuangalia wewe...... kumbe unaimba kwa sauti ya juu... mbaya zaidi unaukosea wimbo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ai emu hambodi yu no[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
WANAWAKE:::: USITUMIE MANENO HAYA 10 UNAPOONGEA NA MWANAUME (MPENZI WAKO)

1.Nimepitia wanaume wengi ila wewe ni zaidi ya wote!
Wanaume hawapendi kujua umeshakuwa na uhusiano na wanaume wangapi hapo kabla kwani hujisikia vibaya kujua mpenzi wake alishawahi kuwa na mtu Fulani!
 
Huwezi wewe!
Hakuna kitu mwanaume hapendi kusikia kama kuonekana ameshindwa au hawezi kufanya jambo Fulani! Hutakiwi kumueleza moja kwa moja kwamba hana uwezo wa kufanya jambo Fulani.
 
3.Yule kaka ni mtu makini sana Tengeneza urafiki nae
Ukitaka kugombana na mwanaume, basi mlinganishe na mwanaume mwingine. Usionyeshe kamwe kwamba kuna mwanaume ambaye ungependa awe kama yeye!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…