Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ngoja tusubiri maana Cr7 ameuona upenyo wa kuchukua tena UEFA kwa mwaka wa tatu mfululizo baada ya BARCA kukalishwa chini, hivyo hawa jamaa watajituma sana nadhani kuliko kipindi chochote kile msimu huu ili wafanye kitu ambacho sidhani kama kimeshawahi kufanywa na timu yoyote kwenye UEFA.

BAK Madrid mdebwedo tu kwa liver
 
Sasa watakuja machinjioni pale anfield Kazi kwisha ndio maana nataka semifinal nao hili final iwe nyepesi kwetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…