Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Amen[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]

Numbisa umeanza kukua.
Aaa wapi. Kamekopi na kupesti tu kutoka mahali. Si ajabu hata hakakumbuki kama kamebandika haya maneno mazito yenye falsafa nzito kuhusu maisha na mapito yetu hapa duniani. Kama unabisha ngoja kaamke halafu ukaulizie hii ishu bila kukarejesha kwenye hii post. Hakatakumbuka kitu [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] itakuwa ajabu sana. Kwa mapito aliyo pitia,hayo maneno ilitakiwa awe ameyatengenezea fremu kabisa
 
[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…