Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Na wewe ushaharibika akili na uzi huu[emoji23][emoji23]
Mods funga huu uzi[emoji125]
Uzi huu ni hatari sana. Kwanza ukiuona unaudharau. Baadaye unaanza kuposti mara moja moja. Halafu wenyeji wanakukaribisha. Unaanza kuzoea pole pole. Unaanza kuona kuwa mh kumbe kuna watu wa kila aina humu. Unaanza kutoa likes na kuchangia tumijadala. Pole pole unaanza kuulizia: jamani konokono ni nini? Saksafoni je? Kimdabuo? Ukija kushtuka tayari maji yameshakufika shingoni unashusha nondo za kufa mtu kwenye mijadala ya konokono, maparachichi, saksafoni na mingineyo tata. Unabaki tu unashangaa what happened? Wakati huo hata kuondoka huwezi tena kwa sababu tayari ushakuwa addicted...
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Eti visheti vya kufa mtu...Safi sana aisee...Muda...
 
Huu uzi ni addiction mbaya sana.
Nakumbuka siku ya kwanza kuuona niliudharau,baadaye sasa kuna mtu job alinivuruga ndo nikaingia humu sasa hivi hata kutoka naona shida.
Yaani siku ikipita bila kuja humu naona kuna kitu hakiko sawa.
 
Siyo Filamu kweli hilo? Hiyo page tulikuwa tunaita page ya ubwabwa. Ukiwa nayo basi washikaji watakuja tu kukutafuta [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Saksafoni, maparachichi, na kimdabuo ni nini shem?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…