Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

We ulishawahi kukatiwa kwani?

Baadaye naye ulimkatia?

Malipo kweli ni hapa hapa duniani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Majibu ya mwaswali yote ni ndiyo[emoji23][emoji23]
Ila cha ajabu mkataji hajui kama analipia,yeye utamsikia malipo ni hapahapa(kwa sauti ya huzuni)[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…