Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Gai bratheee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Leo wamepotelea wapi mabros na jomoni zao?

"Shiro sema"
"Sijambo Kasmart"

Yaani mpaka raha !!!
Brathee[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Sijui hata wako wapi ila shiro namuona anagonga likes kimya kimya.

Hivi shem hupokei hongo?[emoji23][emoji23][emoji23]
Mathee[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
We nambie tu kama wapokea ama laa,nataka hako ka address brathee[emoji23][emoji23]siriasi
Hongo sipokei shem [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Na yale mavitabu yote nimeyarundika huko vijana wanajipakulia tu. Sasa TCRA nao wanaharibu kila kitu sasa. Mianasiasa [emoji36][emoji36]
 
Duh!! Haya!
 
Waaaaiiiiii[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Dah!nasikitika maana kuna mavitabu ni ghali kweli mtoto wa masikin hawezi mudu kununua.
Kila kitu tunaweka siasa,aaagggrrr[emoji35][emoji35][emoji35]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…