carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Unawaogopa wakoromije[emoji23][emoji23][emoji23]wakija niite mimiHahah!! Ugomvi wa visu huo mimi simo
Hawezi kuwa mwakaleli huyu[emoji23][emoji23][emoji23]mwakaleli hawako hivyoHalafu ukute jamaa ni Mwakaleli laivu sijui atasemaje [emoji36][emoji36][emoji36]
Haya bhana[emoji2]Hahah!! Ngoja kidogoo nitaenda tu
.Mwakaleli wakoje? Kaone [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hawezi kuwa mwakaleli huyu[emoji23][emoji23][emoji23]mwakaleli hawako hivyo
Yaani hawana huruma kabisa[emoji23][emoji23]watalipia tu wajiandaeWamekukatia?
Watu hawana huruma dah [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Usingizi umekataUmeota nini?
[emoji23][emoji23][emoji23]nasisitiza huyo ni mkoromije tuSisi tutamuangalia tu makovu hatutaki
Heheh!!Unawaogopa wakoromije[emoji23][emoji23][emoji23]wakija niite mimi
Aisee pole sana...Usingizi umekata
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nasisitiza huyo ni mkoromije tu
Na kale ka mlio ka kwachaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kicheko cha usiku huu wa manane bila shaka kina uzito zaidi. Ningekuwa hapo karibu bila shaka nisingekosa "kibakhshishi" hata kama ni kaskrinishoti [emoji16][emoji16][emoji16][emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
[emoji654]️[emoji654]️ Ukilikamia kulinyoosha hilo lishamba hamtadumu. Limeshindikana kunyooshwa na mamake huko we ndiyo utaliweza wakati ushamba wenyewe si ajabu ushakuwa sugu?
Angelala kakumbatia begi la nguo..Mwakaleli wakoje? Kaone [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mimi ndo kiboko yao humu[emoji23]Heheh!!
Sawa ila usije kunigeuka tu
Asante sanaAisee pole sana...
Malipo ni hapa hapa duniani. Hata kumbrozone mtu malipo yake ni hapa hapa tu...Yaani hawana huruma kabisa[emoji23][emoji23]watalipia tu wajiandae
Jogoo wa dar wanawika hata saa7 usikuJogoo wa Daslam bhn
Kweli malipo ni hapahapa duniani.Malipo ni hapa hapa duniani. Hata kumbrozone mtu malipo yake ni hapa hapa tu...