Kumbe iko hivyo!! SawaJe, mtu mwenye tezi dume iliyotanuka anaweza kuwa na saratani pia?
Ndio. Dalili za magonjwa haya mawili hufanana.Kwa hiyo vipimo vya kawaida vilivyotajwa haviwezi kutambua ugonjwa wa saratani.Lazima vipimo maalum vya saratani vifanywe. Vipimo hivi ni kumpima mgonjwa nyuma kwa kidole, kipimo cha damu kuona kiwango cha PSA nakuchukua kipande cha tezi dume (prostate biopsy).
Asante, unaeleweka daktari pendwaMatibabu ya tezi dume
Mambo yanayozingatiwa katika matibabu ya tezi dume ni pamoja na ukali wa dalili na jinsi shughuli za mgonjwa zinavyoathirika na dalili za ugonjwa huu. Lengo la matibabu huwa ni kupunguza makali ya dalili,kurahisisha maisha,kupunguza mkojo unaobaki kibofuni na pia kuzuia matatizo yanayokuja na ugonjwa huu.
Soka popote mkuu, hakuna lisilowezekana kwenye mchezo wa sokaATM wakiwa kwao naamini hawawezi kukubali upuuzi wa kufungwa
Daaa,nimekuelewa vizuri ingawa masaa 7 yaliyopita nilikumwagia likes bila kusoma hapaA. Kubadilisha maisha na kungoja
Hii ndiyo njia inayopendekezwa kwa wanaume ambao wana dalili kidogo ambazo haziwasumbui.Hata hivyo,haimaanishi kukaa tu bila kufanya chochote.Wakati mgonjwa anangoja,anahitajika kubadili jinsi anavyoishi ili kupunguza dalili zilizopo,na pia kumwona daktari kila mara(walao mara moja kwa mwaka) ili kujua kama dalili zinapungua au zinazidi.
Badili mazoea ya kukojoa na kutumia vinywaji.Kojoa mara kwa mara,usizuie mkojo,kojoa mara tu haja ijapo.Kojoa kwa vipindi viwili, yaani kwanza kojoa kama kawaida, ngoja kidogo na ujaribu kukojoa tena papohapo,usijilazimishe kukojoa.Usinywe pombe wala kahawa jioni.Hivi viwili hulegeza kibofu na kufanya figo kitengeneze mkojo na hivyo basi kukojoa zaidi usiku.Usinywe maji mengi sana.Usizidi lita tatu kwa siku.Usinywe maji mengi mara moja bali unywe kidogo kidogo siku nzima/mchana wote.Punguza vinywaji unapoenda kulala au unapoenda kwenye shughuli nje.Usinunue dawa za homa dukani.Hizi huzidisha dalili na mkojo kutotoka.Badilisha wakati unapokunywa dawa za kukojoza.Jichunge na baridi, weka mwili wako na joto na fanya mazoezi.
Kutokufanya mazoezi huzidisha dalili.
Nb:Tezi dume lililovimba na ambalo linaleta dalili ndogo ndogo linaweza kuangaliwa kwa uangalifu na kwa kubadilisha mfumo wa maisha bila ya kuchukua hatua yoyote ya kidaktari.
Sawakukaza na kuachilia misuli ya nyonga.
Jaribu kukojoa baada ya muda fulani siku yote.
Pata matibabu unapofunga choo.
Punguza mfadhaiko.
Kufadhaika na wasiwasi husababisha kukojoa zaidi.
Asee,sawa. Matibabu ya dawa
Dawa ndizo hutumika na hupendekezwa mara nyingi katika kukabiliana na dalili zenye ukali kiasi.Dawa hupunguza dalili kwa kiasi kikubwa kwa wagonjwa wengi.Kuna aina mbili za dawa, za kulegeza misuli ya kibofu,na za kupunguza ukubwa wa tezi dume.
Sawa dadaDawa za kulegeza misuli
Hizi hulegeza misuli ndani na nje ya tezi dume, Hupunguza kizuizi cha mkojo na kuwezesha mkojo kutoka kwa urahisi zaidi. Dawa hizi zinaweza kusababisha kizunguzungu, kichwa kuuma na kuhisi uchovu.Dawa hizi ni kama famsulosin, alfuzosin,terazosin na doxazosin
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkwe atakuwa na visa na mimi si bure.
Aseee, nguvu za kiume tena!!!Dawa za kupunguza tezi dume
Hizi hupunguza ukubwa,kuongeza mkojo unaotoka na pia kupunguza dalili.Hazifanyi kazi haraka kama zile za kulegeza misuli.Nafuu hupatikana baada ya kuzitumia kwa kama miezi sita.Huwa bora kwa walio na dalili kali.Matatizo ya dawa hizi ni kukosa ashiki ya kufanya mapenzi na hata kupunguza nguvu ya uume.
Mama mkwe atakuwa ana miliki mgahawa aiseh,si kwa mivyombo hiyo khaaaAkhaaaaaa aoshe mwenyewe,ntasingizia mikono inauma
Mkuu unavuna dhahabu huko?Salama karibu dhahabu
Huyu jamaa ana matatizo ya moyo.View attachment 758253
Nimeibiwa Pete yangu nani kanionea humu
Hata hivyo ni vema wagonjwa wapitie kwanza hospitali kuliko kujinunulia tuMatibabu ya mseto
Dawa aina zote mbili zilizotajwa hapo juu huwa ni bora zikitumiwa kwa pamoja.Huleta nafuu kwa kiasi kikubwa kuliko zikitumiwa moja
Namshukuru mungu na MWL aliyetufundisha shuleni,mana atajivunia matunda yake,ila asifanye Nazi kama vilaza wengine ajitume kwa uma
Hahaha hata kupewa ubrozone ni heshima tosha piaKupenda tabu; nimemwambia nampenda ila kasema ananiheshimu kama kaka yake
Brozone dadeq[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Fresh tu,tena nitampongeza.