Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Utafanyaje kwa wewe ambaye unasikia njaa baada ya kula chakula chako muda wa saa moja usiku.

Unaweza kula vyakula ambavyo havina matatizo kama vile matango, nyanya, vitunguu, au tafuna mbegu za maboga.
 
Mimi nimekuwa na tabia moja kuwa , nimekula vizuri leo, nahitaji niheshimu utaratibu wangu, kwa sababu hivi vitu havitaisha siku zote vipo. Lazima tuamini kuwa hatutaweza kuwa na furaha kama tukiendelea kula kula kila mara , hasa wakati wa usiku.
 
Inaweza kuwa ni ngumu hasa unaposikia mawazo haya , lakini ugumu utakuwepo tu mwanzoni, lakini baadae utaona uzuri wake utakapofahamu ni kitu gani unatakiwa ukifanye ili kufikia malengo yako ulionayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…