Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Muda wooooote nilio kujua, nilikuwa nasubiria saaaana neno la dharau hilo la "mpare wa Gonja"
Shemeji Shimba futa madai yako yote. Hapo haupati kitu, kesha jiapiza kabisa. Hao wa Gonja ni wabaili afadhali ya shuaini utamla nyama
Naona bado unamuwinda Babe S. Mahari Shimba alisha chukua tatizo anapenda sana ng'ombe.
 
Ndio, umesahau? Alisema yeye hana madhara atakuwa anazunguka tu nje kule Masaki.Akapotea mazimaaaa... Kurudi anaimba taarabu, hata sijui walimfanya nini mzee yule[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuna watu wana kumbukumbu nzuri sana humu ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…