Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna huyu mwingine pyaar ndio balaa kabisa jana amenikomalia hapa, akidai Eksipiriensi anayo yakutosha ya kunilea
Mpaka nikatafuta video ya Jack pemba nione anavyolelewa ni hatari bro
Pyaar anakutia majaribuni eeeh!? Itabidi ukomae kama kanafunzi kaYego au ikibidi nenda tu ukalelewe. Ni bahati kupata mwenye eksipiriensi bro...Na Pyaar yeye anafungukaga tu hafichi kitu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…