Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira imeiagiza Serikali kushughulikia kukwama kwa meli mbili zenye mafuta ya kula katika Bandari ya Dar es Salaam kutokana na utata wa kodi wanayotakiwa kulipa.

Mei hizo mbili kwa ujumla zina mafuta kiasi cha tani 62.
 
Mwenyekiti wa kamati hiyo, Sadiq Murad alitoa agizo hilo katika semina ya kuwajengea uwezo wajumbe wa kamati hiyo juu ya majukumu ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Tume ya Ushindani (FCC) na Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (Brella) iliyofanyika bungeni jana.

Alipoulizwa kuhusu suala hilo, Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Stella Manyanya alisema uagizaji wa mafuta una uhusiano mkubwa na masuala ya kiuchumi ya nchi.
 
Kwa mtazamo wangu linapotokea jambo kama hilo ngazi za maamuzi za juu hukaa kwa pamoja na kufikia muafaka namna gani ya kulishughulikia kwa manufaa mapana ya nchi,” alisema.

Kamati yaikomalia Serikali

Murad alisema kuna meli mbili zilizobeba mafuta ghafi (crude oil) zimekwama kwa wiki mbili sasa bandarini hapo kutokana na utata wa aina ya bidhaa zilizoingiza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…