Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

SIMBA NAKO MZUKA

Wakati Yanga wakifanya yao jeshini, Wekundu wa Msimbazi walikuwa Boko ambapo Kocha Lechantre na msaidizi wake, Masudi Djuma walimalizia kazi kwa kuwapa mwongozo vijana wao kuwamaliza Yanga mapema leo Taifa.
 
Mwanaspoti iliyopiga kambi katika mazoezi ya siku mbili tangu Simba walivyotua Dar kutoka Morogoro na kushuhudia Wekundu hao wakiendelea kulishwa mbinu za mfumo wa 3-5-2, ambao utakuwa mabeki watatu, viungo watano na washambuliaji wawili.
 
Kiungo mkabaji atakuwa Jonas Mkude atakayeshirikiana na viungo wa pembeni, Shiza Kichuya na Shomary Kapombe aliyekosekana kwenye mechi ya duru la kwanza, huku John Bocco mwenye mabao 14 na kinara Emmanuel Okwi wakisimama mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…