capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Duh. Huyu mwanamke sikua nikimdhania kabisa.Kama ni mkeo utafanyeje mkuu, na mna watoto mmezaa? Wanasemaga kosea kujenga lakini usikosee kuoa..
''0''
Duh. Huyu mwanamke sikua nikimdhania kabisa.Kama ni mkeo utafanyeje mkuu, na mna watoto mmezaa? Wanasemaga kosea kujenga lakini usikosee kuoa..
Bro tunahitaji na mshauri wa kiroho.Na hilo jicho bro na eksipiriensi ulizozitaja jana kazi ni ngumu kwa kweli....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]angesema kimemfinya sehemu nyeti,Mbunge wa Rombo, (Chadema) Joseph Selasini ameomba mwongozo bungeni akilalamika kuwa viti vya bungeni ni vibovu.
Ameyasema hayo leo Aprili 30, bungeni baada ya kipindi cha maswali na majibu na kuhoji ni lini serikali itakarabati viti hivyo.
“Lini Serikali itakarabati viti hivi, hiki nilichokalia leo asubuhi kimenifinya makalio.” Amesema Selasini.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]hata mimi ningekuwa akimu hapo ningecheka sanaAkijibu mwongozo huo, Spika Job Ndugai alihoji kiti hicho kimemfinya sehemu gani huku akicheka.
Hata hivyo Spika Ndugai amesema, jambo hilo limepokewa na litatolewa ufafanuzi.
Illustrator mzuri. Hapo kakiwekewa mjongeo na sauti shabihi katuni saaafi watoto wanaburudika...
Hivi hakuna chama kingine humu ndan tofauti na hiki chenu mkuu? Najiona ku-hang tuuCHAMA CHA WAGUMU....
Kabisa. Na wa mahusiano. Tukiwapata hao CHACHAWA itarudi katika msingi imaraBro tunahitaji na mshauri wa kiroho.