Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
 
Kwa maana hiyo walaji wengi wazarishaji wachache
 
Kwa maana hiyo walaji wengi wazarishaji wachache
Ndiyo maana wafanyakazi wanapolalamika mimi nawaelewa kabisa, mzigo wao ni mkubwa sana sana. Hakuna unafuu wala sehemu ya kupumulia kwenye maisha. Makato yao ni makubwa sana, halafu upande wa pili mfumuko wa bei ulioachwa na Jakaya Kikwete mpaka leo uko pale pale na kuna bidhaa zinapanda gharama bado. Kibaya zaidi ni kwamba walikuwa wanategemea mikopo ili kuishi lakini siku hizi mikopo hawachukui sana kwasababu Riba zimepanda tokea Asilimia 18% hadi 21%.. Nani atachukua mkopo wakati Riba ni kubwa bila mshahara kupanda ???

India Dependency Ratio ina afya kuliko hata Uchina, Vijana ni Asilimia 67% na wezee ni wachache sana. Na wamejitahidi sana kuhakikisha kwamba hawa vijana wanafanya kazi za uzalishaji "Manufacturing Jobs". Hivyo tunavyosema kwamba kuna tatizo kitaalamu watu wanasema sisi ni wanasiasa Uchwara, lakini ukweli mchungu bila kuleta siasa ni kwamba mambo siyo mazuri sana kama hatutachukua hatua za stahiki kuwasaidia hawa wafanyakazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…