Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jamaniii [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Una lazimisha mtu awe na nyege[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Davido akataa dili la Milioni 60 la Mpenzi wake

MUUNGWANA BLOG / 26 minutes ago




Staa wa muziki kutokea Nigeria Davido ameweka hadharani kuwa hataki mpenzi wake Chioma apewe ubalozi kwenye kampuni yoyote kwa shillingi Milioni 60 atakubali tu kama deal hilo litakuwa la Milioni 100 na labda atafikiria kuhusiana na hilo.

Davido ameyasema hayo kupitia account yake ya twitter ambapo ameandika “Nimepata offer ya Milioni 60 za mradi wa mpenzi wangu lakini nimewaambia walete milioni 100 labda atafikiria”

Davido na Chioma inasemekana kuwa wamekuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa miaka mitano na pia kitu ambacho kilibeba headlines kwenye mitandao ya kijamii ni kuhusu Davido kumzawadia Chioma gari aina ya porshe lenye gharama zaidi ya shillingi milioni 200 kwenye birthday yake.
 
Mashabiki wa Liverpool hofu yao yazidi kushika kasi

MUUNGWANA BLOG / 27 minutes ago




Timu ya Liverpool jana Mei 02, 2018 ilifanikiwa kutinga hatua ya fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya baada ya miaka 11 licha ya kupoteza mchezo huo kwa kufungwa magoli 4-2 dhidi ya AS Roma.

Pamoja na kutinga hatua ya fainali lakini mashabiki wa Liverpool wamekua na wasiwasi na kocha mkuu wa timu hiyo Jurgen Klopp kutokana na historia ya matokeo mabovu katika michezo ya fainali.

Mathalani katika michezo ya fainali sita aliyoshiriki kama kocha mkuu wa vilabu vya Borussia Dortmund na Liverpool amefanikiwa kushinda mchezo mmoja pekee.

Fainali ya mwaka 2012 katika kombe Ujerumani ndiyo ulikua mchezo pekee kushinda akiwa na timu ya Borussia Dortmund.

Jedwali linaloonesha matokeo ya michezo ya fainali ya timu za Liverpool na Borrusia Dortmund chini ya kocha Jurgen Klopp.

Liverpool itakutana na bingwa mtetezi klabu ya Real Madrid katika mchezo wa fainali wa ligi ya mabingwa Ulaya utakaochezwa Mei 26 katika mji wa Kiev nchini Ukraine.
 
Back
Top Bottom