[emoji16] [emoji16] aisee hayo mawsali dah,, ngoja jamaa atakujbu hahah[emoji23][emoji23], nimeuliza jamani huwa sielewi kabisa eti
King Kiba au King SolomoniItakuepo bwana kwahoyo leo lazima cr apige makofi kwa king
[emoji23][emoji23] naona unakusanya madeni yakoNipo ila likes zako sizion
Ana majibu huyo....Waiting...[emoji16] [emoji16] aisee hayo mawsali dah,, ngoja jamaa atakujbu hahah
Wapi SYB?
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau
Jamani, kumbe mwanafunzi wa KAHORORO.Breaking News
*BAD* *NEWS*
Mwanafunzi kidato cha sita Kahororo Sekondari Bukoba akutwa akiwa amejinyonga usiku wa kuamkia leo.
Mwanafunzi huyo *ROBERT* *MASABA*mwenyeji wa Wilaya ya Kwimba Mkoani Mwanza amechukua uamuzi huo yakiwa yamesalia masaa kadhaa kufanya Mtihani wa Taifa unaotarajia kuanza hapo kesho.
Sababu za Uamuzi huo bado hazijafamika.
cheki unavyokazia hayo majibu ,si kila swali lina jibu Pyaar[emoji16] [emoji16]Ana majibu huyo....Waiting...
[emoji23][emoji23][emoji28],cheki unavyokazia hayo majibu ,si kila swali lina jibu Pyaar[emoji16] [emoji16]
Kuna wengine wanapata hadi kiungulia,ukiona hivyo jua imekukataaMi kila nikinywa juis ya ubuyu lazima nihis kama usingz mzito sana cjui kwanini
Naona mnaalikana tu, kuna swali nimeuliza mnijibu.Wapi SYB?
Redio One wamesema ni wa Nyakato. Hata haijulikani vizuri...aRIP...Jamani, kumbe mwanafunzi wa KAHORORO.