Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

They cant bro
He is too powerfull for now. Na si unajua nchi hii ukisha pewa uraisi no one can touch you.
Lets hope hata ongeza muda tu 2025
Katiba ipo wazi hata yeye sijui kama anatamani kuongeza muda zaidi kuwa Rais ni mzigo mzito sana angalia hata afya yake ilivyo anafikiria sana watanzania wanataka nini
 
Sijui lakini kwa system ya nchi yetu Prezidaa yuko Juu ya sheria anafanya anavyotaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…