Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Naomba ninukuu....

"Najitolea firii ovu chaji kummung'unyisha parachichi nene nene refu zito lenye mkunjo kwenye mshikio."

Na kwa vile maparachichi yana mafuta sana, basi kunenepa hapo lazima tu. Mwakaleli bana !!!
 
Hata hapa kwenye uzi tu wengi wanapenda vimbaumbau so hakuna haja ya kwenda USA. Ila hata USA hao weusi wanaopenda vimbaumbau hivi nadhani ni wale high class. Wengine hawa wanahangaika na matipwa tipwa na hata ni kimbaumbau kimsambwanda lazima kiwepo
Yesss... Pa kuegeshea mkono lazima pawepo..... Balansi... Eee balansi ili kupata urahisi wa konokono kumeza parachichi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…