[emoji818][emoji818][emoji818][emoji818]. Jamaa huyu anajua sana kucheza na akili za wahafidhina na walokole wa Amerika...
Unamaaniasha au unatania bro?Mtoto mzuri kama huyu kumuweka jela ni kumdhulumu tu
Aminapoleni wagonjwa..Mungu awaponye
Nilitaka nimuulizie shogako uliko leo kumbe tayari ushafika. Tumshukuru Mungu...Bob Marley alizaliwa na mama mweusi kijana aliyeitwa Cedella Booker na baba wa Kizungu aliyeitwa Norvall Marley. Wakati yungali bwana mdogo, marafiki zake walimpa jina la utani kama "Tuff Gong".[1] Ameanza kazi zake za muziki kunako miaka ya 1960 hivi akiwa na kundi lake la kina Wailing Wailers, ambalo alilianzisha akiwa na marafiki wawili, Peter Tosh na Bunny Wailer. Mwaka wa 1962, Bob Marley na kina Wailing Wailers wakafanikiwa kurekodi nyimbo zao mbili za kwanza zilizoitwa "Judge Not" na "One Cup of Coffee".
Hatupoipoleni wakulima woote